Monday, September 17, 2012

Kanye West akirap na mama yake Donda West .Video -- Watch

Kanye West anazidi kudhibitisha kuwa alikuwa na mahusiano mazuri sana, na marehem mama yake Dr. Donda West baada ya kumuandikia wimbo  ("Hey Mama"), pia amepanga  ku design kampani ukiacha  (DONDA Foundation)  lakini mahusiano  yao yanaonekani kuwa yakipekee  baada ya kuoneka waki rap pamoja kati hii video


hii clip, ni ya mwaka  2003, Yeezy akimkumbusha rhymes zake za long time..

0 comments: