Sunday, September 30, 2012

Rick Ross na Young Jeezy wadaiwa kuzozozana Backstage BET Hip-Hop Awards....(September 30), Rick Ross and Young Jeezy imeripotiwa waliingia kwenye mzozo  backstage ya BET Hip-Hop Awards.
Funk Master Flex dakika chache baada ya tukio hilo, alitweet kuwepo kwa mzozo kati ya  Rozey na Jeezy wakiwa  backstage,mzozo uliohusisha kushikana na kusukumana na baada ya kurushiana maneno..

0 comments: