Friday, September 21, 2012

Octopizzo amdiss Abbas tena.....


Rapper anayefanya vizuri hivi sasa nchin Kenya  Octopizzo amemdiss Abbas  kupitia you tube ..kwa kumwambia akuwe na kurudi nyumbani ku face ushindani wa game uliopo hivi sasa
Octopizzo ameendelea kufunguka kwa kusema  Abbas anatakiwa  stop Tours anazozifanya  Germany kwasababu nafanya birthday shows. duuuuuu…..
That must hurt a lot coming from the new kids on the block……
Check out the video.

0 comments: