Wednesday, September 19, 2012

Beautfull Melodies ni albam mpya na MAKAMUA… Nahafikili kuipeleka kwa waHindi…


Don’t cry ft saraha ni si single inayoitambulisha hiyo albam, ambayo sehem kubwa imefanywa na Fundi Samweli wa Usaniii Production.akiwa amewashirikisha joselny,sharaha naF undi Samweli ambaye ameshiriki katika ngoma inaitwa Leave me alone ..Kinachosubiriwa ili albam hiyo iingie mtanii ni kumaliziwa baadhi ya ngoma tarehe 25 na 26 kabla produder Fundi Samwel sept 1 ajaondoka nchini… Makamua alisha hit kwa ngoma kama Why,Natamani akiwa na Q jay ambaye kwasasa ameokoka na anaimba Gospel. Kuhusu ukimia wake kuhusishwa na ulevi wa kupindukia kupitia The SpAsh ya Ebony fm amesema….
ni rumous siunajua rumous, am on air meeen siunajua anytime nikitokea hata kama sijarelease nyimbo nikitokea tu inatosha ..so sometime rumous nazo poa …minawenza nikawa mabatani kila mtu akasema vyake Kwa uhakika msikilize hapa… Don’t cry Makamua ft saraha

0 comments: