Sunday, September 02, 2012

AY NA CPWAA KWENYE CHANNEL O VIDEO MUSIC AWARDS


Channel O Video Music Awards awamu ya 9 zimewadia na tayari majina ya wasanii tofauti na 
 vipengele vyao vimetajwa. Kupitia twitter ,facebook na website ya Kituo Cha Channel O wametaja vipengele tofauti vya ubora wa kazi za wasanii kwenye bara la Africa .Tuzo zitatolewa November 17 2012 , Kliptown -Soweto mjini Johannesburg South Africa.

Kutoka Tanzania Wasanii AY NA CP  Wametajwa .

AY ni kwenye Vipengele vya Most Gifted East African Video of the Year, Most Gifted Male Video of the Year na Most Gifted Video of the Year.

0 comments: