Sunday, September 02, 2012

Usain Bolt awavamia maharusi na kupiga nao picha….


Wapendanao wawili waliokuwa wakisherekea harusi yao sehem ya mapokezi ya hotel ya nyota tano Lowry Hotel, kipande cha  Manchester week iliyopita walipatwa na mshangao baaba ya kupata ugeni ambao hawakuutegemea kutoka kwa mkali wa mbio fupi Usain Bolt ..ambaye aliamua kwenda kupiga nao picha pamoja na kuwapa mokono wageni walio sindikiza harusi hiyo.
Nazan maharusi hao wataiweka picha hii mbele ya albam yao ..0 comments: