Monday, September 03, 2012

Chid Benz akataa collabo na Ney wa mitego..Nasema nao remix.


Chid benz.
 NEY wa mitego akipipiga story na the splash..show inayoruka kupitia EbonY FM nane mpaka kumi jioni..anadai alimpigia simu chid ili afanye nae remix ya ngoma ,NASEMA NaO lakin jamaa alikata simu hakutaka kusika chochote kuhusiana na project hiyo..ambayo ney anasema itakuwa mtaani jumatano hii. ukumbuka kwenye original ya ngom hiyo kuna line zinazosema..
''Chid benz katoboa pua,sijui anamaanisha nini au mwenzetu sio riziki,kudadadeki...

'
ney wa mitego.akizungumzia hiyo ishu..

0 comments: