Sunday, September 02, 2012

Diddy aanza kuitengeneza Bad BoY...


Baada ya Diddy kuamisha Bad Boy Records katika kushirikiana na  Atlantic Records na kuamia Interscope, ameanza kuitengeneza upya bad boy baada ya kuwasainisha rappers watatu ,wa kwanza alikuwa Machine Gun Kelly (MGK) mwaka 2011 and this year kawapa deal rappers kutoka Bronx French Montana na Los.

pia Bad Boy as inamkali wa
 R&B Megan Nicole aliyepatikana kupitia Youtube na kuwavutia wngi kutokana na kuimba vizuri ngoma za Bruno Mars na Kings of Leon.

0 comments: