Saturday, September 15, 2012

Pipi Apata mtoto wa kiume.....

Mkali wa ngoma kama, First Time,Usinune na kwasa anayetamba na video yake mpya inayoitwa UNAPOKUWA MBALI namzungumzia PIPI jana usiku alijifungua mtoto wa kiume na kumpa jina la KINGSTONE.
Hongera pipi kwa kupata baby boy..

0 comments: