Monday, September 03, 2012

Amber rose mjamzito...

Amber Rose model, 28, ni kama amethibitisha kuwa anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza na rapper wiz khalifa,baada ya kupigwa picha akionekana kotokwa na kitumbo cha ujauzizo
Fununu za amber kuwa mjamzito zilianza kuenea week kadhaa zilizopita na sasa zinaonekana kuwa na ukweli…
 

0 comments: