Monday, December 23, 2013

kocha wa timu ya taifa ya kenya aongeza mkataba.

0 comments
kocha mkuu wa timu ya taifa ya kenye Harambee Stars ,Adel Amrouche ameongeza mkataba wa miaka mitano ya kuendelea kuifundisha timu hiyo .

Kidumu anatarajia kufanyiwa upasuaji...

0 commentsWakati akifanya mahojiano na kipindi cha KTN Morning Express show, Kidum amesema hayuko vizuri hivyo anatakiwa kufanyiwa upasuaji

yanga yamtimua kocha wake .

0 comments

Na Mahmoud Zubeiry, Jangwani
RASMI Yanga SC imetangaza kuachana na kocha Mholanzi, Ernie Brandts siku mbili baada ya kufungwa mabao 3-1 na wapinzani wao wa jadi, Simba SC juzi katika mechi ya Nani Mtani Jembe Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Abdallah Ahmed Bin Kleb amewaambia Waandishi wa Habari leo asubuhi makao makuu ya klabu, Jangwani mjini Dar es Salaam kwamba Brandts amepewa notisi ya mwezi mmoja kwa mujibu wa taratibu za ajira na baada ya hapo ataondoka.
Bin Kleb (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari makao makuu ya klabu leo Jangwani. Wengine kulia ni Ofisa Habari, Baraka Kizuguto na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano, Mussa Katabaro   

 
 

Vin Diesel atangaza tarehe ya kutoka kwa Fast and Furious 7

0 comments
Vin Diesel atangaza tarehe ya kutoka kwa Fast and Furious 7
Muigizaji mkuu wa filamu ya Fast and Furious, Vin Diesel ametangaza tarehe ya kutoka kwa muendelezo wa saba wa filamu hiyo yenye mafanikio makubwa. Kutoka kwa filamu hiyo kuliathiriwa na kifo cha aliyekuwa muigizaji mwingine wa Fast and Furious, Paul Walker mwishoni mwa mwezi uliopita kwa ajali ya gari.

Thursday, December 19, 2013

D"BANJ KUWEKEZA KWENYE KILIMO 2014.

0 comments


 dbanj farming
Msanii kutoka  Nigeria Oladapo Oyebanjo aka Dbanji wakati akitarajia kusherehekea kutimiza miaka 10 tangu aanze kufanya music hapo  mwakani 2014 amejipanga kuingia katika shughuli za kilimo . 

Tuesday, December 17, 2013

Rabbit amtia mimba msanii mwenzie,wakati tayari anamchumba mwingine..

0 comments
Sage-and-Rabbit have a child

uhusiano wa Rapper kutoka Kenya Rabbit na msanii mwengine wa kike kutoka nchini humo Sage umechukua sura mpya baada ya habari kuenea kuwa wanatarajia kupata mtoto.

Friday, December 13, 2013

FUSE ODG AMPA SHAVU BOUNSA KUTOKA TANZANIA..

0 commentsMwanamuzikiraia wa Ghana anaeishi nchini Uingereza FUSE ODC Maarufu kwa jina la Azonto amempa shavu baunsa maarufu nchini Mwarabu Seleman Mirundi maarufu kwa jina Rose ya kumpa ajira ya kudumu ya kumlinda
kwenye.

Beyonce ameachia albam mpya kwa kushtukiza ,

0 comments

(iTunes)


Albam hiyo ni ya tano kama solo ameipa jina la “Beyonce” akiwa na track 14 pamoja na video zake.

Oprah Winfrey: sina watoto kwa sababu….

0 comments

Oprah Winfrey at Regal Cinemas L.A. Live in Los Angeles, on Aug. 12, 2013.


Oprah Winfrey ambaye anautajiri wa dola  $2.9, pamoja na talk show yenye mafanikio ulimwenguni kote kwa miaka 25 hivi sasa lakini hana watoto ,sasa katika interview alioifanya na Hollywood Reporter, amezungumzia kitu kilicho sababisha asiwe na watoto

Friday, December 06, 2013

SOMA JINSI WATU MAARUFU WALIVYOGUSWA NA KIFO CHA NELSON MANDELA..

0 comments
nelson-mandela.jpg

Baada ya jana alhamis Jacob Zuma Rais wa afrika kusini kutangaza kuwa Rais wa kwanza mweusi wa nchi hiyo Nelson Mandela Amefariki dunia akiwa na miaka 95,watu tofatu tofauti wakiwemo wasanii duniani kote walianza kutoa salam zao za pole .

VIDEO:DRAKE ATANGAZA USHIRIKINO NA JORDAN .

0 comments
wakati  Drake Akiendelea na Tour yake ya  "Would You Like A Tour?" Tarehe 4 usiku  akiwa katika mji wa Portland, Ore. alitangaza rasmi kuwa  na ushirikiano na brand ya Michael Jordan katika biashara ,brand ambayo imekuwa maarufu katika utengnezaji wa viatu vinavyoenda na wakati.

Wednesday, December 04, 2013

Nikweli Nas na Melanie Fiona wapenzi?

0 comments

FIONA
Fununu za mastaa hawa ku date zimechukua headline za mitandao mingi baada ya kuoekana wakiwa na ukaribu .

Tuesday, December 03, 2013

VIDEO:Kanye West ataonekana katika season mpya ya "Keeping Up with the Kardashians."

0 comments
Kwa mujibu wa trailer ya season ya tisa , mashabiki mwa reality tv show watapata kuona kipande kidogo cha nyumba mpya ya Kanye na Kim pamoja na jinsi ambavyo kanye alimvisha pete ya uchumba kim.

japo clip inayoonesha kanye akimvisha pete kim ilishavuja na kuna habari kuwa wamepanga kumshitaki mtu alie record na kuvujisha video hiyo lakini huonenda camera za  ‘Keeping Up with the Kardashians.’ Zikaonesha kila upande wa tukio zima .

Drama zingene tunazotarajia kuziona kwenye  season nine ya ‘Keeping Up with the Kardashians.’ni pamoja na mwisho wa ndoa ya mama yake Kim Kris  na mumewe Bruce Jenner lakini pia tutaona ishu ya mume wa mdogo wake Kim ambaye ni star wa NBA Lamar Odom kuhusu kuwa na addiction ya madawa ya kulevya.
season  mpya ya  ‘Keeping Up with the Kardashians’ itaanza kuruka 2014.
Tizama  trailer hapo chini 

Monday, December 02, 2013

WALE:UMASIKINI ULINIFANYA NISIFIKE NIGERIA TANGU NIZALIWE

0 comments
american rapper wale a nigerian
Rapper Wale kutoka Washington DC mwenye asili ya Nigeria amesema sababu ya kuto kufika Nigeria tangu azaliwe ni kutokana na umasikini wa wazazi wake
Wale amezaliwa na wazazi raia wa Nigeria mwaka 1984 ,sasa  katika interview alioifanya hivi karibuni amesema
“nimekua nikiwa maskini,nimekulia DC,kipato cha familia yangu kilikuwa kidogo kukata tiketi ya kuja Nigeria .
Wale amefika Nigeria kwa mara ya kwanza week iliopita .

Wednesday, November 27, 2013

movie aliofanya NAS na tyrese Black Nativity itawashtua fans wengi wa movie..

0 comments

 
Wakongwe wawili katika music Nas na Tyrese wakuja na Movie Black Nativity ambayo imeingia rasmi kwenye stores leo Nov 27
Movie hiyo imewashirikisha wakali wengine katika music kama Jennifer Hudson na Mary J Blige.

Tuesday, November 26, 2013

Baada ya kutoka kifungoni daktari wa Michael Jackson atoboa siri nzito.

0 comments


Kwenye mahojiano yake ya kwanza mara baada ya kuachiwa toka gerezani kwa kuhusishwa na kifo cha nguli wa muziki wa pop duniani Michael Jackson, Dokta

Conrad Murray alielezea kwenye mahojiano aliyofanya na The Mail kwamba, Michael hakuwa baba wa hata mtoto wake mmoja, aliathiriwa na madawa kiasi cha kufikia hatua ya kuhitajika kuwa anavaa condom sababu mkojo ulikuwa unatoka wenyewe kwenye uume wake.

Sunday, November 24, 2013

UTATA:LIL KIM APANDA JUKWAANI NUSU UCH***

0 comments


 photo kimlondon1_zps6af69c6e.jpg
hizi ni picha za lil kim ambazo zimeleta gumzo kwenye mtandao ,imeshindwa kueleweka kama ni fashion au aliamua kutengeneza headlines kwa kuvaa nusu uchi on stage pande za london ijumaa iliopita..
click >>> read more ni kwa waliozidi umri 18 tu..

Tiwa savage afunga ndoa .

0 comments

tiwa savage wedding pictures sold ovation magazine
Muimbaji raia wa Nigeria Tiwa Savage jana Nov 23 amefunga ndoa ya kiasili na mchumba wake wa muda mrefu ambaye pia ni Manage wake Olandunji balogun aka Tee Billz..

Friday, November 22, 2013

Davido asherehekea bday yake kwa kutoa msaada kwa jamiii(photo)

0 comments

Msanii kutoka Nigeria  Davido jana nov 21 alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kitofauti baada ya kuamua kwenda kutoa msaada kwa jamii.

Peter Msechu akanusha kuudiss wimbo wa Ney wa Mitego"nakula ujana"

0 comments

clip_image002[12]
 baada ya peter msechu kupost ujumbe huo hapo chini kwenye instragam na kisha kutafsiliwa kama ni diss ya wimbo mpya wa Ney wa Mitego NAKULA UJANA ,na kupelekea blog nyingi nchini Tanzania kuandika habari hii kwa vichwa vya habari vilivyosomeka "Peter Msechu Audiss mwimbo mpya wa Ney wa mitego

Monday, November 18, 2013

Ndoa ya Peter Okoye (P squere) yafana ,DIAMOND audhulia !

0 comments
peter okoye wedding photos
hatimaye member wa kundi la P squere Peter Okoye amefunga ndoa ya kiasili na mchumba wake Lola Otayo jana jumapili na sherehe kuhudhuliwa na mastaa kibao wa musiki pamoja na filamu.

Dokta John (wagosi wa kaya) afiwa na mke wake.

0 comments


habari ambazo mtandao huu umezipata Dakta John wa wagosi wa kaya amefiwa na mke wake Josephine mwishoni mwa week iliopita mkoani Tanga..
Rapper Roma kutoka Tanga alimpa pole Dokta John kupitia Twitter

sababu za kifo cha cha mke wa docta john hakijajulikana ,SwahiliInfo.blogspot.com tunatoa pole kwa familia nzima ya Docter john

Sunday, November 17, 2013

Audio:darasa kuja na mixtape..

0 comments

Rapper kutoka kiwalani Darasa anakuja na Kanda Mseto [Mixtape] Yenye nyimbo 19 Aliyoipa Jina La "Dream Big - ChapaKazi " . Mixtape imewashirikisha   Shilole, Ngwear, Akiba, Bandana, Jux, Suma Lee, One Da Icredible Na Wengine Wengi.

Young Jeezy akasirika kuchereweshwa kutoka albam yake mpya..

0 comments

Young Jeezy (cropped).jpg


Rapper Young Jeezy ameujia juu uongozi wa wa label inayosimamia kazi zake Island Def Jam  na Universal Music Group kwa kushindwa kuweka wazi tarehe rasmi ya kutoka kwa albam yake mpya mpaka sasa.

Friday, November 15, 2013

sports:makundi ya CECAFA senior challenge cup.

0 comments

Group A.Kenya,Ethiopia,Zanzibar,South Sudan
Group B.Tanzania,Zambia,Burundi,Somalia
Group C.Uganda ,Randwa ,Sudan na Eritria

mashindano yanatarajia kuanza kutimua vumbi nchini kenya november 27.

sports :yanga yamsajili chipukizi wa Taifa stars

0 comments


Young Africans Sports Club almaraafu kama Yanga imefanikiwa kumsaninisha mkataba wa miaka mitatu kiungo Hassan Saleh Dilunga kutoka timu ya Ruvu Shooting ambapo mchezaji huyo ataanza kuitumikia timu yake mpya katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu.
Usajili wa kiungo Hassan Dilunga unakua ni usajili wa pili kwa klabu ya Young Africans katika kipindi cha dirisha dogo baada ya mwishoni mwa wiki kukamilisha kumsajili mlinda mlango Juma Kaseja.

Prezzo: Huddah is like government property. She has slept with almost the whole world..

0 comments
Prezzo kills the silence after Monroe harsh tweets a couple of weeks ago.
prezzo

Prezzo was blasted by Huddah a few weeks ago and as many thought, his silence wasn’t going to last.
The king of bling has now opened up about his relationship with socialite Huddah Monroe saying Huddah “is like a Government property”,and “has slept with almost the whole world” are some of the reasons he didn't want to date her.
“We got together like three times and I think she really liked what she got. I’m addictive and so she could not let go,” said the MMG boss in an interview.
Prezzo claims that Huddah is only bitter because he did not want to settle down with her and has been harassing all the women he dates.
“Huddah is like government property. She has slept with almost the whole world. Do you think the president would settle for such a woman? I never respond to her, but you may have noticed she attacked Goldie and Tanzania’s Diva.” Claims the rapper.
SOURCE..RapNairobi.com

Thursday, November 14, 2013

NOMA:police Nigeria akutwa akivuta bangi..

0 comments
nigerian police smoking weed
Picha hapo juu inamuonesha policeman wa Nigeria akivuta bangi wakati akiwa kazini ,picha hiyo imeenea kwenye socil media kuanzia jana nov 14.
Jamaa alipiga picha hiyo kwa kutumia simu yake amedaiwa kudhibitisha kuwa ni kitu cha kijiti kutokana na harufu iliokuwa inatoka..

Wednesday, November 13, 2013

zifahamu Sigara za kielekitroniki zilizo anza kutumika uingereza , inasemekana zitasaidia kuokoa maisha ya mamilioni ya wavuta sigara

0 comments
Sigara za kieletroniki , kifaa ambacho kinatumia betri uchochea uvutaji kwa kuchemsha na kufanya kimiminika kilichochanganywa na nikotini kuwa mvuke na mvutaji uvuta mvuke huo badala ya moshi kama ilivyo katika sigara za kawaida . utumiaji wa sigara hizi umekuwa ukiongezeka kwa kasi na kubadilisha utengenezaji wa tumbaku. 

Tuesday, November 12, 2013

NU VEDIO :ENDRU G Ft MAKUKA- UMENIBAMBA

0 comments

IRINGA:RUAHA UNIVERSTY COLLEGE (RUCO) INAHUSU...

0 comments
This is the special party for the Graduands from Ruaha University College, their families, continuing students of RUCO and nearby Universities& Colleges and the society in general of Iringa town and other nearby Places, to celebrate with the GRADUANDS for their Victory of being graduates......It is the moment where farewell hand will be given to graduands and the remaining majority within the college and the society at large.....Tell her/him to tell him/her so that You come all.....

Monday, November 11, 2013

Miley Cyrus Ameonekana akivuta Marijuana On Stage pande za Amsterdam Uholanzi..

0 comments

miley cyrus smoking marijuana weed

Miley Cyrus amekuwa na umaarufu mwenye utata tangu alipo anza kupata fans wa muziki duniani kote
Picha zilizoenea kwenye mitandao zinamuonesha muimbaji huyo wa miaka 20 akiwasha kitu kilichozaniwa ni bangi wakati wa utoaji wa tuzo za MTV Europe Music siku ya jumapili.

prezzo na navio kushiriki kwenye mixtape ya dj drama..

0 comments

dj drama  Chick

Rappers wawili kutoka Kenya Madtraxx and Prezzo watashiriki katika mixtape mpya ya American hip-hop artiste and DJ, DJ Drama.  DJ drama amesha wahi kufanya kazi na wasanii wakubwa marekani kama , lil wayne, Ti, Ludacris na wengine kibao

The Game amefafanua maana ya picha ya kutengeneza (photoshopped photo) ilionekana akiwa na 2pac..

0 comments

The Game  mapema week iliopita alipost picha Instagram akiwa na  Tupac,lakini haikuchukua muda ikafamika ni picha ya kutengeneza ,ishu hii ilifanya fans wake wafiria kuwa rapper huyo kutoka  Compton anataka kuwadanganya kuwa  alishakutanana na 2 pac kabla ya kifo chake . 

Sunday, November 10, 2013

Meek Mill shows Nigeria’s Ice Prince some love.

0 comments
Meek Mill shows Nigeria’s Ice Prince some love.
Seems like Ice Prince has a lot of good things going for him at the moment. His newly released album “Fire Of Zamani” has been getting a lot of positive remarks from fans and industry friends within the country and in the diaspora. Meek Mill took to his twitter page to show Solidarity to his friend, Ice Prince urging his fans to also get the album off iTunes.
"Shout out to my African "aboki" @Iceprincezamani. da biggest African artist just released the most anticipated album". He tweeted

Tuesday, November 05, 2013

DRAKE APIGA MNADA NYUMBA YAKE..

0 comments
Drake

Mkali wa Hold on we’re going home drake ametangaza kuuza (condo )apartment yake iliopo kwao Toronto Canada kwa kiasi cha dola  milion $3.75 ,

Apartiment hiyo inadaiwa kuwa na vitu vya dhamani kuanzia furniture na kuna  private elevator , valet and guest parking, indoor pool, exercise room, party room, vyumba vya wageni na sehemu ya kuoshea magari car wash .

Tuesday, October 29, 2013

video:CHRIS BROWN ATOKA JELA..

0 comments
Chris Brown ameachiwa huru baada ya kuonekana hana hatia kufuatia tukio lilotokea jumapili oct 27 pande za  Washington, D.C.
C breaze na bodygued wake walitiwa hatiani kwa madai ya kumpiga ngumi shabiki na kumsabanishia mpasuko ndani ya pua
Katika utetezi wake chris Brown amesema hakumpiga huyo jamaa ila akiwa kwenye tour bus jamaa wakati akitaka nayeye kupanda nipo bodyguard  wake alipo fanya kazi yake
Chris Brown ametakiwa kukaa umbali wa mita 10 na jamaa aliedai kushambiliwa katika tukio hilo
Kama c brown angepatikana na hatia angeweza kwenda jela miaka mine kwa kuwa bado yupo kwenye probation kutokana na kosa la kumpiga rihana mwaka 2009
TIZAMA VIDEO INAYOMUONESHA CHRIS BROWN AKITOKA JELA

Monday, October 28, 2013

BBC SWAHILI:Polisi wavamia kituo cha redio Somalia

0 comments


Polisi nchini Somalia walivamia makao makuu ya kituo cha redio cha Shabelle, na kukilazimisha kufunga matangazo yake mnamo siku Jumamosi.
Maafisa wakuu wanasema kuwa wanadhibiti jengo hilo ambalo lilikuwa linamilikiwa na serikali miaka ya nyuma.

CHRIS BROWN AKAMATWA !

0 comments

20131027-132758.jpg


Habari zilizo enea kwanye mitandao hivi sasa, chris brown na bodyguard wake wanashikiliwa na police baada ya ugomvi ulio tokea nje ya hotel W mwishoni mwa wiki pande za Washington, DC .
Vyonzo vya habari vinasema ugomvi huo ulitokea wakati chris brown akipiga picha na wasichana wawili nje ya hotel ndipo jamaa mmoja akiwa na washikaji zake walipo jisogeza ili watokelezee kwenye picha ,kitendo ambacho inaonekana hakikumfurahisha C breaze na kuamua  kumpiga jamaa ngumi ya uso na kumpasua pua.

Lady Gaga abaki uchi wa mnyama jukwaani..

0 comments
gaga-6
Msanii ambaye haishi vituko mara kwa mara Lady Gaga ameingia kwenye headlines za vyombo vya habari kwa mara nyingine tena baada ya kuvua nguo jukwaani na kubaki uchi wa mnyama katika show aliofanya Londan uingereza ijumaa iliopita.

Tuesday, October 22, 2013

Kwa mara ya kwanza Rapper Ja Rule amezungumzia maisha yake akiwa jala ...

0 comments


Mwaka  2007 Ja Rule alipatikana na hatia ya kutumia silaha kinyume na sheria akajikuta akienda jela kwa miaka miwili na kutoka mwezi wa tano mwaka huu.

Katika interview alioifanya na mtandao wa TMZ Ja Rule ukiacha vitu vyote alivyopitia jela sawa la chakula halikuwa tatizo ..

 "It's not too good," said Ja, before adding, "You get packages and stuff like that. You can eat decent enough. I ate everything. In jail we was pretty crafty. We made lasagna, we made cheesecakes."

Amesema chakula hakikuwa kizuri sana hivyo walikuwa wakijipikia aina tofauti za vyakula ..