Friday, December 13, 2013

FUSE ODG AMPA SHAVU BOUNSA KUTOKA TANZANIA..
Mwanamuzikiraia wa Ghana anaeishi nchini Uingereza FUSE ODC Maarufu kwa jina la Azonto amempa shavu baunsa maarufu nchini Mwarabu Seleman Mirundi maarufu kwa jina Rose ya kumpa ajira ya kudumu ya kumlinda
kwenye.
 
Akiongea na Maskani Bongo baunsa huyo alisema kuwa Nimepewa shavu hilo na Azonto baada yakufanyanae kazi hivi karibuni alipokujaa nchini kimsingi mshikaji amenikubarina tayari ameshanitumia pesa yaa nauli na yakurekebishia mambo mengine hivyo huenda siku za hivi karibuni nitapasua anga kuelekea Uingereza Alisema Rose
Azonto ambae alikuwa nchini miezi michache iliyopita aliletwa na kituo cha Radio Times na kufanikiwa kufanya onesho kubwa na la kihistoria kwenye viwanja vya Ustawi wa Jamii Jijini Dar na kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi

Baunsa huyoambae pia ni mcheza mieleka wa kujitegemea ambae hivi karibuni alikuwa nchiniIran kwenye mapambano ya mchezo huo.
SOURCE BONGOCLAN

0 comments: