Tuesday, December 17, 2013

Rabbit amtia mimba msanii mwenzie,wakati tayari anamchumba mwingine..

Sage-and-Rabbit have a child

uhusiano wa Rapper kutoka Kenya Rabbit na msanii mwengine wa kike kutoka nchini humo Sage umechukua sura mpya baada ya habari kuenea kuwa wanatarajia kupata mtoto.


Rabbit na sage wamekuwa wakikataa kuwa na mahusiano kwa mwaka mzima wa 2013 ,lakini sage amekubali kuwa na mahusiano ya siri na Rabbit na hawakutaka media kuingilia maisha yao binafsi, na sasa amebaini kuwa rabbit anamahusiano na msichana mwingine ambaye amemchumbia ,

kwa mujibu wa mtandao wa rapnairobi. Sage ameamua kusitisha uhusiano wake na Rabbit licha ya kuwa tayari ni mjamzito na wamekubaliana kuwa Rabbit atakuwa anatoa pesa ya matumizi kwa mtoto.

0 comments: