Friday, December 13, 2013

Oprah Winfrey: sina watoto kwa sababu….


Oprah Winfrey at Regal Cinemas L.A. Live in Los Angeles, on Aug. 12, 2013.


Oprah Winfrey ambaye anautajiri wa dola  $2.9, pamoja na talk show yenye mafanikio ulimwenguni kote kwa miaka 25 hivi sasa lakini hana watoto ,sasa katika interview alioifanya na Hollywood Reporter, amezungumzia kitu kilicho sababisha asiwe na watoto

Oprah amesema wakati rafiki yake  Gayle King ambaye ni mama wa watoto wawili akifikiria majina ya watoto wengine atakao wazaa yeye alikuwa na ndoto za nivipi atakuwa kama Martin Luther King.” 

Oprah amesema akiwa na watoto watamchukia “They would have ended up on the equivalent of the Oprah show talking about me; because something would have had to suffer and it would’ve probably been them.”

Hata hivyo Oprah ananafasi kubwa katika maisha ya wasichana wanaokuwa ambapo kupitia   Oprah Winfrey Leadership Academy for Girls, huwa anawapa ujumbe kuhusu maamuzi katika maisha na matatizo walionayo wavulana.

0 comments: