Friday, December 06, 2013

SOMA JINSI WATU MAARUFU WALIVYOGUSWA NA KIFO CHA NELSON MANDELA..

nelson-mandela.jpg

Baada ya jana alhamis Jacob Zuma Rais wa afrika kusini kutangaza kuwa Rais wa kwanza mweusi wa nchi hiyo Nelson Mandela Amefariki dunia akiwa na miaka 95,watu tofatu tofauti wakiwemo wasanii duniani kote walianza kutoa salam zao za pole .

kupitia mtandao wa twitter TL za watu wengi maarufu zilitawaliwa na habari za kifo cha Mandela ambaye anakumbukwa kwa mambo mengi ikiwemo kupigania na ubaguzi wa rangi .


Rest in Peace Mr. Nelson Mandela. A fearless leader, incredible human being, inspiration, a REAL hero. Truly one of a kind. God bless you.

Rest in peace Nelson Mandela you are a great hero. You will forever be.
Nelson Mandela. What a difference one person can make.


leo Ikulu ya marekani ilishusha bendela nusu mlingoti Australia TV Na redio zimesitisha vipindi kwasabau ya Madiba hii niheshima kubwa sana

A true fighter in every sense of the word... MANDELA!

0 comments: