Monday, December 02, 2013

WALE:UMASIKINI ULINIFANYA NISIFIKE NIGERIA TANGU NIZALIWE

american rapper wale a nigerian
Rapper Wale kutoka Washington DC mwenye asili ya Nigeria amesema sababu ya kuto kufika Nigeria tangu azaliwe ni kutokana na umasikini wa wazazi wake
Wale amezaliwa na wazazi raia wa Nigeria mwaka 1984 ,sasa  katika interview alioifanya hivi karibuni amesema
“nimekua nikiwa maskini,nimekulia DC,kipato cha familia yangu kilikuwa kidogo kukata tiketi ya kuja Nigeria .
Wale amefika Nigeria kwa mara ya kwanza week iliopita .

0 comments: