Monday, December 23, 2013

Kidumu anatarajia kufanyiwa upasuaji...
Wakati akifanya mahojiano na kipindi cha KTN Morning Express show, Kidum amesema hayuko vizuri hivyo anatakiwa kufanyiwa upasuaji

Katika mahojiano hayo kidumu amesema hawezi kuzungumzia kiundani swala hili akihofia mapaparazzi  lakini ni kweli anatakiwa kufinyiwa operation..


0 comments: