Monday, December 23, 2013

kocha wa timu ya taifa ya kenya aongeza mkataba.

kocha mkuu wa timu ya taifa ya kenye Harambee Stars ,Adel Amrouche ameongeza mkataba wa miaka mitano ya kuendelea kuifundisha timu hiyo .
 
Rais wa chama cha soka (FKF) nchini humo Sam Nyamweya amesema swala hilo limefanikishwa na serikali ya Kenya “serikali itakuwa ikilipa mshahara wa kocha huyo kwa miaka mitano ijayo amesema rais wa (FKF)  
mkataba huo mpya utanza kufanya kazi kuanzia  January 1, 2014.
Kuimbuka Adel Amrouche aliipa Kenya ubingwa wa michuano ya challenge wiki chache zilizopita ..

0 comments: