Thursday, January 02, 2014

MDOGO WAKE NA WAKA FLOCKA AFARIKI DUNIA ..


Screen Shot 2013-12-29 at 11.52.13 PM

mdogo wake na Waka Flocka ambaye pia alikuwa ni Rapper Kayo Redd amefariki dunia kwa kujiuwa.


haijajulikana hasa  kilichosababilisha kifo chake wale ni nini , Waka Flocka aliomboleza kifo cha mdogo wake kupitia twitter kwa kuweka instagram video clip na kuandika "yo big brother love you kayo"..
mama yake Debra Antley ambaye ali tweet “I just lost another sun”

0 comments: