Friday, January 24, 2014

BABA WA MARY J BLIGE ANA HALI MBAYA, ACHOMWA KISU SHINGONI ...


Baba wa R&B superstar Mary J. Blige amekimbizwa hospital jana alhamis akiwa katika hali mbaya baada ya kuchomwa kisu shingoni.

Taarifa za awali kutoka kwa maofisa wa police zinasema baba wa MJB Thomas Blige, 63,amechomwa kisu na alie wahi kuwa girlfriend wake mwanamama Cheryl Ann White, mwenye umri wa miaka 50, ambaye alikamatwa katika eneo la tukio kwa kosa la kujaribu kuuwa .
Haijaulikana mpaka sasa tatizo lilikuwa nini ..

0 comments: