Sunday, January 12, 2014

Ride Along: Movie inayosubiriwa kwa hamu ,imefanywa na Rapper Ice Cube na comedian Kevin Hart .


Rapper Ice Cube amefanya movie mpya na mchekeshaji anaependwa sana kwa hivi sasa  Kevin Hart ,movie hiyo ya comedy  inaitwa Ride Along inatarajia kutoka ijumaa ijayo  starring ni Ben ( Kevin Hart )na James Ice Cube ,mastaa wengine waliotokezea katika movie hiyo ni  rapper David Banner na SNL pamoja na comedian Jay Pharaoh.
 Check  trailer hapo juu.

0 comments: