Monday, January 13, 2014

Prof Jay afanya ngoma na Diamond Platnumz..

hiyo ni post ambayo mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini Prof Jay aliiweka kupitia account yake ya Istagram akiwa studio na Diamond pamoja na Producer P - Funk wakitengeneza ngoma,bila shaka kila mtu anahamu ya kusikia hiyo ngoma pindi takapo toka ..

0 comments: