Wednesday, January 15, 2014

SIO TETESI TENA:CIARA NA FUTURE WANATEGEMEA KUPATA MTOTO..

Congrats! Ciara and Future Confirm Baby on the Way

Baada ya kuvishwa pete ya uchumba katika siku yake ya kuzaliwa na Rapper Future muimbaji wa R&B  Ciara AKA CiCi ameonesha picha inayo thibitisha kuwa anatarajia kupata mtoto siku za usoni.

Ciara akipiga story na E!news alisema wana mipango ya kufunga ndoa japo hakutoa maelezo ya kutosha .
Hii inamaanisha huyu atakuwa mtoto wa kwanza kwa CiAra lakini kwa Future atakuwa ni mtoto wa nne .
Congrats to the happy couple!

0 comments: