Sunday, February 10, 2013

Hemed Phd akataa kujiunga na Freemason...

0 comments

Mtaandao wa Kenyan POST.com mwishoni mwa wiki umechapicha habari zinazumuhusisha Drama boy ambeye alishawahi kushiriki  Tusker Project Fame Hemedi Suleiman aka PhD  kuwa ameshafuatwa na viongozi wa kubwa wa jamii ya Freemason lakini amekataa kujiunga nao..

Mkubwa wa fremason ananishawishi nijiunge katka chama hicho ila nimemuombea duwa mungu amlani ishallah“na hakika mwenye kujiunga na chama hicho mwisho wake ni kufa napia huwenda motoni.......

Hivi karibuni kumekuwa na list ya wasanii Africa mashariki ambao  wamekuwa wakihusishwa na Freemason lakini hakuna vidhibitisho vya aina yoyote

Monday, February 04, 2013

download ngoma mpya kutoka kwa SLIM SAL..

0 comments

Msanii wa BongoFlava BUIBUI Agongwa na kuvunjika miguu..

0 comments
 habari isiyo nzuri iliyopo hivi sasa ni kumuhusu msanii  Frank Ktende a.k.a Buibui, ambae amepata ajali weekend hii, kwa kugongwa na boda boda maeneo ya Kinondoni studio, na kusababisha mguu wake wa kushoto kuvunjika na mguu wa kulia kuteguka 
Kisa cha mpaka kufikia kugongwa na pikipiki hiyo, ni pale alipokuwa na washkaji zake na mwanadada mmoja alimtaja kwa jina la Lina J, ambae ni mschana anaefanya nae video ya wimbo wake, video  iliyokuwa inataki kukamilika siku ya jana.  

Friday, February 01, 2013

huyu ndo dogo aliemdiss juelz santana,,JoJo Simmons

0 comments


Jo Jo Simmons amelazimika kumdiss Juelz Santana kufuatia line zake zenye utata kupitia track yake ya "Soft."

Juelz Santana alimtupia maneneno  JoJo Simmons kwenye track yake mpya ya  "Soft" featuring Rick Ross and Meek Mill. Kwenye hiyo track juelz amesma , "

Rihanna kwamara ya kwanza rihana amefunguka juu ya mahusiano yake na chris brown..

0 commentsAkipiga stori na rolling stone amezungumzia yaliotokea nyuma na yupo tayari kwa chochote kitakachotoke kwahivi sasa akiwa na chris
Rihana amesema amechagua kuwa na furaha kitu ambacho ni muhimu kwake na anajua nimakosa yake kuwa katika maaumivu kwa muda wa miaka kadhaa lakini kwasa anastahili kuishi na ukweli wake naanaamini atamudu hayo yote.

Amber Rose kujifungua mtoto kwa njia ya asili akiwa nyumbani ..

0 comments

Wiz Khalifa and Amber Rose wakipiga story na  Big Boy’s Neighborhood on Power 106 pande za  Los Angeles  wamezungumzia maamuzi yao ya natural child-birth
Pamoja na kuwepo na maumivi wakati wa kujifungua amber rose amekubaliana na kujifungua akiwa nyumbani bila ya madawa ,na kwa mujibu wa wiz anasema siku ikifika Ambar atakaa sehemu yenye mazingira mazuri na wakati akijifungua yeye ndie atakae mpokea mtoto kwa mikono yake ,