Friday, February 01, 2013

Amber Rose kujifungua mtoto kwa njia ya asili akiwa nyumbani ..


Wiz Khalifa and Amber Rose wakipiga story na  Big Boy’s Neighborhood on Power 106 pande za  Los Angeles  wamezungumzia maamuzi yao ya natural child-birth
Pamoja na kuwepo na maumivi wakati wa kujifungua amber rose amekubaliana na kujifungua akiwa nyumbani bila ya madawa ,na kwa mujibu wa wiz anasema siku ikifika Ambar atakaa sehemu yenye mazingira mazuri na wakati akijifungua yeye ndie atakae mpokea mtoto kwa mikono yake ,

Baada ya kuona documentary Ricki Lake inayohusu kujifungua ambayo inaitwa The Business of Being Born, Amber  na  Wiz wakaamua kujifungua kwa njia ya asili ndio inawafaa
Amber ametiririka kuwa yeye na wez hawapendi mambo ya hospital so kwsasa wanapewa elimu ya kujifungulia nyumbani hivyo utapofika muda wa kujifungua DR Wiz atafanya mambo yake na atakuwa mtu wa kwanza kumsika mtoto wao..

0 comments: