Tuesday, January 29, 2013

Chris Brown azichapa na Frack Ocean studio…

 
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Chris Brown usiku wa kuamkia JANA amezichapa kavu kavu na mwanamuziki mwenzie Frank Ocean.Vyanzo vilivyo karibu na Chris vimedai kuwa Chris anadai Ocean ndiye aliyeanzisha ugomvi Chris alikuwa kwenye studio ya Westlake ya jijini Los Angeles akisikiliza baadhi ya nyimbo za wasanii wake. Vyanzo vinasema wakati Chris anaondoka, Frank Ocean na washkaji zake wakaziba njia.
Mtandao huo umesema Chris alienda kumpa mkono Frank na ndipo washkaji wa Frank walipomvamia Chris. Vyanzo vilivyo karibu na Chris Brown vimesema rafiki wa Chris aliruka mbele na kumpiga rafiki yake na Frank.Inadaiwa kuwa Frank alimfuata Chris na akasumwa na Chris na ndipo walipoanza kupigana.Baadaye polisi waliwasili na hakuna anayetaka kufungua kesi.

kwenye Youtube tumekutana na video hii ambayo ina maelezo yasemayo: 
THIS IS CHRIS BROWN SECURITY GUARD & FRANK OCEAN FIGHTING, CHRIS BROWN LEFT BECAUSE HIS HAND WAS CUT BAD. I STARTED RECORDING LATE

0 comments: