Tuesday, January 08, 2013

Amber Rose asherehekea Baby Shower with Wiz Khalifa, Christina Milian, & LoLa Monroe


Amber Rose naWiz Khalifa wamebakiza week kadhaa kabla hawajawa wazazi,hivyo walikuwa na baby shower mwishoni mwa week. Amber Rose aka mama kijacho alikuwa amevalia vazi lenye rangi ya upinde wa mvua akiwa amevalishwa na mwanamitindo Jeremy Scott ambaye pia alitoa zawadi ya sneakers aina ya adidas kwa ajili ya mtoto atakaye zaliwa ,so siku hiyo Amber alikuwa akifungua zawadi ,wakicheza michezo tofauti tofauti wakifurahia kumkaribisha mtoto wao wa kwanza wakiume ..
Na walijumuika na Family and friends akiwemo muimbaji Christina Milian na Rapper wa kike kutoka Taylor Gang LoLa Monroe,
Baada ya hapo Ambar rose akatweet “We had a good ol down home baby shower today. No Papz, No booshiness just Fun, Friends, Family, Food & Good times,”
Ambar natarajia kujifungua mwezi ujao na wamepanga kuvuta ganja za kutosha kabla ya kujifungua ..
check more pics...
                                                    Amber Rose na Christina Millan0 comments: