Wednesday, January 23, 2013

Shakira apata mtoto wa kiume, amuita Milan ..


Muimbaji ambaye ni mzaliwa wa Colombia Shakira na bwana wake ambaye ni mchezaji wa  Barcelona Gerard Piqué, wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume .
Shakira kupitia mtandao wa twetter amesema mtoto huyo anaitwa Milan Piqué Mebarak kimatamshi jina hilo linatamkwa( MEE-lahn), jina ambalo anadai linamaanisha  mpendwa kwa lugha ya  Slavic..

0 comments: