Friday, January 04, 2013

Aliyejitambulisha “mwanajeshi” na kupiga picha na Lema, Nassari.Akamatwa!

Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na PoliceUchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari, ila aliwahi kuwa JKT na akaacha. Amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi.
chanzo cha taarifa hii: Thechoicetz.com (lakini wavuti.com imeiona taarifa hii awali kwenye Tulonge.com)

0 comments: