Monday, January 14, 2013

MENEJA WA KUNDI LA PAH ONE AKANUSHA KUSAMBARATIKA KWA KUNDI HILO..


WAKATI kukiwa na tetesi kuwa lile kundi la muziki wa bongo fleva Pah One limevunjika ,
meneja wa kundi hilo amekana ishu hiyo na kudai kuwa kundi bado 
 
lipolakini kikubwa ambacho kilitokea ni kutokuelewana ndipo baadhi ya wasanii walipoamua kusafiri na kubaki wawili na watakaporejea wataendelea kama kawaida.
Kundi hilo linaundwa na vijana wanne ambao ni  Nahreel , Ola, Aika na 
Igwee ambao wamekuwa wakifanya muziki wa tofauti ambao unaweza 
kuwatambulisha zaidi hata kimataifa.
 
Hata hivyo meneja huyo alipotakiwa kujitambulisha jina lake alidai huwa 
hapendi jinalake litokee kwenye vyombo vya habari..

0 comments: