Wednesday, January 16, 2013

Andre 3000 afuta fununu za Outkast kuungana tena, asema remix alizozifanya Big Boi Remixes hazikuwa official


Kundi la Outkast alijavunjwa rasmi,lakini inaonekana wakali hao hawawezi kurudi na kufanya kazi pamoja hivi karibuni …             
hivi karibuni Big Boi aliweka verse yake kwenye ngoma ya Frank Ocean "Pink Matter,"ikawa ngoma ambayo original yake kulikuwa na verse ya Andre 3000 .. na pia kukawa na mipango ya kufanya remix ya ngoma ya TI "Sorry," Ngoma ambayo TIP alimshirikisha Andre 3000..


sasa kutokana na hizo remix ambazo sio Official zilileta hisia tofauti kwa fans wao ambao walizani kundi hilo liungana tena ,fununu ambazo Andre amelazimika kuzitolea ufafanuzi…

"ni muhimu kwangu kuwa wazi katika hili juu ya mwanzo wa ushiriki wangu katika ngoma ya 'Pink Matter' na 'Sorry,'" yalikuwa ni makubaliano ya mimi kama solo artist  kwa wote  Frank Ocean na Tip nilizungumzia mwelekeo wa muziki na wasanii wote wawili kisha nikaweka verses zangu ,ilikuwa nikabla jina la Big Boi halijatokea ’’amesema Andre…

"sitaki kuwachanganya mashabiki wetu nahofia wengine wanaweza kuzani ngoma hizo zilikuwa ni collabo ya Outkast .hapana. Nimezungumza hili na Big, Frank na T.I. kila mmoja akakubaliana na mimi ,najua kuwa kila mtu anaweza kutoka na unofficial remix kwenye ngoma yoyote lakini laziwa niwe muwazi lipi la kweli na lipi sio’’ amesema Andre…

Out kast walisha wahi kufanya vizuri na ngoma kama …….

0 comments: