Thursday, January 03, 2013

MEMBER WA TLC AJIONA MWENYE BAATI KUWA HAI MPAKA LEO, KUTOKANA NA AFYA YAKE ILIVYO KUWA ..........


T-Boz amefunguka kuhusiana na afya yake pamoja na magumu aliopitia wakati akiwa na sickle cell pamoja na  operation ya cancer ya ubongo alioifanya mwaka 2006 .
katika interview alioifanya na  CNN, member  huyo wa  TLC amekumbushia wakati mgumu alio upata wakati alipo gundua ana cancer ya ubongo,
baada ya kuumwa na kichwa kwa muda mrefu doctor alimwambia tatizo hilo linasababishwa na cancer kitu ambacho kilikuwa ni surprise kwake ..
Doctor akamwambia operation itakuwa na complications kibao, ukiwepo uwezekano wa kupata  stroke, lakini  T-Boz akaamua kujitoa muhanga kwasababu bado alikuwa anaitaji kuishi na sio kufa

" nilitakiwa kutoa order ni vipi natakiwa nisaidiwa ,kwanza nataka sura yangu coz huwezi kunitizama nikiwa kipofu,pili usikivu wangu, coz bado nilikuwa nataka kusikia ,kuimba na kuzungumza ,na mwisho nilitaka nibaki na balance ,lakini moja kwa moja balance yangu wakaiweka upande wa kulia"

baada ya  surgery, alipata tatizo lakuona na kusikia upande wa kushoto , na aka -spent miaka mitatu akipata matibabu na sasa amerudi katika hali yake ya kawaida ,hivyo kwasasa anajiona mwenye baahati kwakuwa bado anaishi

"nilijua maisha yangu yamefikia mwisho wala sito weza kuwa mama tena,mtoto wangu wakike anamiaka 12 namimi namiaka 42 ,nimefanikiwa kuwa mama kwahakika nimebarikiwa ,amesema T-BOZ
"

T-BOZ kwasasa Ana reality show, "Totally T-Boz," na ana anatengeneza ngoma mpya akiwa na member mwingine wa zamani TLC Rozonda "Chilli" Thomas.

0 comments: