Friday, January 11, 2013

Beyonce atangaza Project mpya ,kutoka Destiny's Child 'Love Songs' ni mchanganyiko wa ngoma kutoka kwenye albam zao walizozifanya ndani ya miaka nane …Destiny's Child kupitia project ya Love Songs .licha ya kuwa beyonce aliachia playlist mwaka jana ya ngoma zitakazopatika kwenye project hiyo ambayo itajumuisha ngoma zao zilizowahi kuhit na kulikuwa  hakuna material mpya ..


sasa katika list alioiachia hivi sasa inaonesha kuna ngoma mpya inayoitwa Nuclear" produced by Pharrell Williams.

Beyonce aliandika kwenye facebook na website yake  "I am so proud to announce the first original Destiny's Child music in eight years!" na pia hiyo statement inakupa link ya kufanya pre-order ya hiyo albam kupitia Amazon
Members wengine wa Destiny's Child Kelly Rowland na Michelle Williams, hawajasema chohote kuhusu mzigo huo ,katika interview alio ifanya hivi karibuni , Queen B amezungnguzia career yake ilipo anzia ambapo zaidi alifanya mziki wake akiwa ndani ya group.
" nilifanya kazi kwa nguvu nikiwa mdogo mpaka kufikia mafanikio haya , kwasasa namiaka 30,naweza kufanya ninachotaka ,nimefikia hapo ,ninabahati kufikia nafasi hii :,nilijitoa muhanga kwa vituvingi ,nilifanya kazi kwa nguvu kuzidimtu yoyote ninaye mjua zaidi kwenye  music industry. So najikumbusha nafsi yangu kuwa nastahili   


Love Songs  project itatoka January 29, 2013, take a look at the tracklist.

Love Songs
01 Cater 2 U
02 Killing Time
03 Second Nature
04 Heaven
05 Now That She's Gone
06 Brown Eyes
07 If
08 Emotion
09 If You Leave [ft. Next]
10 T -Shirt
11 Temptation
12 Say My Name (Timbaland remix)
13 Love
14 Nuclear

0 comments: