Saturday, January 12, 2013

Usher, Alicia Keys & wengine kibao ku- Perform wakati Obama akiapishwa …

Usher, Alicia Keys, John Legend, and Stevie Wonder, ni baadhi ya majina makubwa yatakayo perform wakati wa kuapishwa kwa President Obama ..
President Obama inaonekana wazi kuwa anapenda majina makubwa kuperform katika siku hiyo ya kuapishwa ,pamoja ya kuwepo kwa wakali kibao inadaiwa Beyonce ndiye atakaye imba wa taifa wakati wa barrack Obama akiapishwa …
Sherehe hizo ambazo zitafanyika kwa siku mbili tareh 19 na 21 january zitakuwa na wakali  kama Usher, Alicia Keys, John Legend, Stevie Wonder, Smokey Robinson, Katy Perry, March Anthony na country star Brad Paisley. 
Tukio hilo linatarajia kukusanya watu zaidi 35,000 japo haijajulikana rasmi ni sehemu gani wasanii hao wakiwemo Mindless Behavior,na Nick Cannon watafanya hiyo performers kusherehekea  President Obama kuongoza marekani kwa msimu mwingine ..

0 comments: