Thursday, January 10, 2013

Game ampa ushauri wa bure JUSTIN BIEBER ,baada ya kuonekana picha zinazomuonesha akivuta marijuana ….Baada ya picha za utata kuenea kwenye mitandao zikimuonesha  justin bieber akivuta marijuana katika chuma cha "Jesus Piece" rapper Game ametoa maneno ya ushauri kwa young star huyo wa pop na R&B .
Mtandao wa TMZ umeriport kumuuliza Game mawazo yake juu habari hizo za JB kufumwa akitumia marijuana
"Let's keep it real. Kuna watu wengi tena wako kwenye nafasi kubwa ,na wanavuta ganja kidogo sometimes “sisemi ni sahii… lakini bieber amefanya makosa..msameheni..muacheni akuwe na maumivu yake katika maisha ..."
 Pia Game akaongeza kuwa kama Bieber kweli anataka kuwa mvutaji ajiandae kuwa addicted ,so hatakiwa kwenda kwenye matatizo makubwa zaidi amesema Game ..

                                  moja kati ya picha zilizomuonesha JB akivuta marujuana ..


0 comments: