Thursday, January 03, 2013

CASSIDY ASEMA MEEK MILL ALIKUWA AKIMUOMBA USHAURI KATIKA NGOMA ZAKE,AMEBADILIKA BAADA YA KU-SIGN MMG..

Beef  kati ya Meek Mill and Cassidy imechukua headline za mitandao siku kadhaa zilizopita ,kufutia jamaa kubadilishana maneno kwenye mtandao wa twitter, na baada kila mmoja akaTOKA na diss track. Sasa   Cassidy kupitia interview alioifanya amesema beef yao sio personal, anachojaribu nikumpa ukweli rapper ambaye mwanzo alikuwa akimpa ushauri jinsi ya kuchana, lakini amebadilika baada ya sign MMG.  
“Alikuwa akinipigia simu akinitaka nisikilize muziki wake,napia nilishiriki kumuandikia lyrics zake lakini tangu amejiunga MMG hanipigii tena ,Hatuwasiliani ,wala hatufanyi ngoma pamoja “amesema cassidy akipiga interview na MTV
Cassidy anasema hataki kuona chochote kinatokea kati yao, lakini anahisi kuna vitu kila mmoja anataka kuzungumza, hivyo vitu hivyo wanaviweka kwenye rap battle ili mitaa iamua  whi is the best na nani ana-run Philadelphia city ,kwasababu wote wanatoka sehem moja..
Cassidy  alitoa track inaitwa "Me, Myself, and iPhone" akimdiss Meek Mill wakati Meek alitoka na repo...

0 comments: