Monday, January 07, 2013

Proffesor Jay anatafutwa na police nchini Kenya....


Tanzanian rapper Professor J inadawa anatafutwa na police Mombasa Nchini Kenya kwamadai ya kuondoka na camera ya promota nchini humo.. J alikuwa nchini Kenya kwa ajili ya kufanya show mbili,
Sasa inadaiwa promoter huyo kwa kuwa alikuwa ajakusanya pesa zote kabla ya performance za kumlipa Prof J, aliamua kumlipa nusu na kumpa camera aina ya Nikon D3000 kama dhamana..
Baada ya show zote mbili ambazo zilifanyika Jamboree Resort na  Quetu Beach Resort, J aliondoka na camera licha ya kuwa amelipwa pesa zake zote za show.
Promoter huyo anataka arudishiwe camera na alipwe fidia ya siku ambazo Jay amekaa na camera hiyo,
Hiyo madai hayo amewasilisha kituo cha police huko Mombasa hivyo Prof Jay anatafutwa ilikujibu madai hayo..
Wameandika Kenyan Daily Post…

0 comments: