Wednesday, January 16, 2013

Cassidy akanusha taarifa za kuwa na kesi ya ubakaji na asema ajisikii kuendelea kum-diss Meek Mill..


Kufuatia kuwepo kwa  beef ya rappers wanaotoka sehemu moja Philly namzungumzia Meek Mill na  Cassidy , rapper mwengine kutoka sehemu hiyo Ar-Ab, alingia katika beef hiyo na kushusha tuhuma nzito dhidi ya Cassidy
Wakati beef kati  Cassidy  na  Meek mill ikiendelea rapper huyo kutoka  …. Alipost video ya dakika 40 kwenye youtube akiwa upande wa meek mill na kutoa tuhuma nzito kwa Cassidy  , kuwa anatuhuma za kubaka na atachukuliwa hatua kwasababu ishu ililirecodiwa ..
 
Sasa Cassidy  ametoa mawazo yake juu ya habari hizo na kusema habari kutoka kwa Ar-Ab,  si zakweli  
kuhusu beef yake na meek Cassidy amesema hatoendelea kumdiss kwenye tracks endapo Meek atakua hajibu diss zake ..“ kama [Meek] hato jibu sito sema chochote sababu hainishawishi mimi kuendelea ,minaendela kufanya yangu ,nina project nazifanyia kazi za mixtape yangu inayofuata na kuna ngoma kibao zinakuja ntaendelea kukomalia huko lakini hakuna anayejua meek atafanya nini ‘’ amesema Cassidy
na kuhusu kesi ya kubaka anayodai kuwa nayo Cassidy amesema  , kitu kimoja ambacho nataka nikitole ufafanuzi wanasema na mashtaka ya kubaka ,nikiwa na miaka  16 ,kulikuwa na msichana ambaye tulikuwa tunaenda wote shule kila siku mimi na rafiki zangu ,tulikwa nae kwa muda mrefu na kuna wakati tulimrudisha kwao usiku mnene ,aliingia matatizoni na mama yake na akasema tumembaka .baadae mama yake akagundua mwanae ndio ana-deal na sisi hiyo akatoa statement  akisema hataki tuchukuliwe hatua wala hataki kuendelea mbele na kama ingekuwa imerecodiwa wangeona kilichofayika’’mesema Cassidy..


                                                                 Ar-Ab,

0 comments: