Friday, January 04, 2013

2 Chainz asema amekuwa akizungumza na kanye west juu ya kujiunga na G.O.O.D Music ,lakini bado muda haujafika…


BAADA kufanya vizuri mwaka uliopita, 2 Chainz amewashukuru wote waliosaidia mafanikio yake ,na akazungumzia ni kwanini ajajiunga rasmi na G.O.O.D. Music .
2012 ulikuwa ni mwaka ambao ndo tumeona  2 Chainz amekuwa on fire kwenye rap,licha yakuwa yupo katika game zaidi ya muongo yani zaidi ya miaka 10.
Moja kati ya ngoma kubwa ambazo amezifanya 2 chainz mwaka jana ni “Birthday Song”, anasema alishangaa kuona kanye anataka kutokea katika ngoma hiyo “ nilikuwa na ideas kibao za ngoma na nilitaka kufanya na kanye ,nilimsikilizisha tukiwa kwenye tour bus ,wengine walisema nikazi sana kurecord na kanye ,nilipomsikiliziha akasema ‘send it to me’.”
Akizungumzia mausiano yake na boss wa G.O.O.D. Music 2 Chainz anasema "Alisha nitaka ni-sign katika label yake ,lakini kwasasa muda bado ,unajua kanye amenisaidia sana katika albam yangu ,tumekuwa tukizungumza hilo kwa muda wote.  Amemaliza 2 chainz..

0 comments: