Friday, February 01, 2013

huyu ndo dogo aliemdiss juelz santana,,JoJo SimmonsJo Jo Simmons amelazimika kumdiss Juelz Santana kufuatia line zake zenye utata kupitia track yake ya "Soft."

Juelz Santana alimtupia maneneno  JoJo Simmons kwenye track yake mpya ya  "Soft" featuring Rick Ross and Meek Mill. Kwenye hiyo track juelz amesma , "


 I'm Russell Simmons, you Jo Jo,"  mstari ambao JoJo ameuchukulia kama diss

Young Simmons amemjibu kupiti track aliyoipa jina la   "Holy Water" ambao humo ndani anasema  music industry imeshamsaham Juelz na sasa anaonesha kuto kujiheshimu


"Now how you gonna mention my uncle Russell / Then disrespect his nephew / The industry forgot you / Fucker, you nothing special,". "These niggas hate to love you / Simmons will not let you / Compare your money to my money, boy that's disrespectful."


Ameendelea kwa kusema , " nivipi unanitaja jina langu / wakati umeisha staafu / umaarufu mdogo uliokuwa nao / tayari umeisha kufa / 

sikiliza hiyo track hapa..
 

0 comments: