Friday, February 01, 2013

Rihanna kwamara ya kwanza rihana amefunguka juu ya mahusiano yake na chris brown..
Akipiga stori na rolling stone amezungumzia yaliotokea nyuma na yupo tayari kwa chochote kitakachotoke kwahivi sasa akiwa na chris
Rihana amesema amechagua kuwa na furaha kitu ambacho ni muhimu kwake na anajua nimakosa yake kuwa katika maaumivu kwa muda wa miaka kadhaa lakini kwasa anastahili kuishi na ukweli wake naanaamini atamudu hayo yote.
 
Pia rihana amezungumzia utofauti wa mahusiano yao uliopo hivi sasa na zamani anasema unaweza kuwaona wakiwa wote sehemu flani studio au club na ukahisi unajua kila kitu lakini nitofauti hivi sasa tunazungumzia kuhusu kazi tunzkipa dhamani kila kitu hatuna malumbano tena tunajua nini tulichobnacho hivi sasa na hatutaki kulipoteza hilo amesema Rihana \Ambaye anaamin hakuna kibaya kinaweza kutokea kati yao

0 comments: