Thursday, January 23, 2014

T-PAIN "KANYE WEST ALI-RECORD NGOMA YAKUNI-DISS LAKINI HAKUITOA"

T-Pain amesema Kanye West ali record ngoma kumuhusu yeye ,akielezea  jinsi gani idea za T-pain zilivyo hazina kiwango( zaki-wack)  

T-Pain amesema kanye alitengeneza track hiyo ya kumDiss wakati wakitengeneza albam yake ya nne 808s & Heartbreak  iliotoka mwaka 2008 na kufa.T Pain anasema ilikuwa ngoma kali yenye mashairi mazuri na alizani kanye angeitoka kwa kuwa watu wote waliokuepo studio waliungana na kanye kuponda idea zake
Mapema mwezi huu T-pain akifanya interview na DJ Vlad alionesha kutokulidhishwa na heshima anayo pewa kama muanzilishi wa kutumia Auto-Tune baada ya albam ya yeezas ya kanye kutoka ambayo ametumia pia Auto –tune

0 comments: