Friday, December 06, 2013

VIDEO:DRAKE ATANGAZA USHIRIKINO NA JORDAN .

wakati  Drake Akiendelea na Tour yake ya  "Would You Like A Tour?" Tarehe 4 usiku  akiwa katika mji wa Portland, Ore. alitangaza rasmi kuwa  na ushirikiano na brand ya Michael Jordan katika biashara ,brand ambayo imekuwa maarufu katika utengnezaji wa viatu vinavyoenda na wakati.


Portland ni mji ambao ni makao makuu ya NIKE ,so ilikuwa ni sehemu muafaka kwa Drake kutangaza ushirikiano huo na Michael Jordans kwa mara ya kwanza , 

VIDEO:Drake Akitangaza kushirikiano wake na brand za Michael Jordan.
"Growing up, I'm sure we all idolized this guy; he goes by the name of Michael Jordan.  So, today I came to Portland and I became officially inducted into the Team Jordan family." 
baada ya kutangaza habari hizo kwenye show Drake alipost mtililiko wa aina tofauti za viatu aina ya Jordan .


na kupitia  account rasmi ya Twitter  ya Jordan @Jumpman23, drake alipewa shout out kama member mpya katika team ...

0 comments: