Wednesday, December 04, 2013

Nikweli Nas na Melanie Fiona wapenzi?


FIONA
Fununu za mastaa hawa ku date zimechukua headline za mitandao mingi baada ya kuoekana wakiwa na ukaribu .
 Nas alitokea na na star huyo wa muziki Melanie Fiona katika party binafsi iliowahusisha mabilionea party ambayo pia ilihudhuliwa na Russell Simmons, Harvey Weinstein na Spike Lee,
 9737139384_1f2222ea60_b_zps848670fe
Inadaiwa wakiwa kwenye party hiyo wali kiss na kukumbatiana sambamba na kupiga picha pamoja kitu kilicho leta maswali mengi .

0 comments: