Tuesday, October 22, 2013

Kwa mara ya kwanza Rapper Ja Rule amezungumzia maisha yake akiwa jala ...Mwaka  2007 Ja Rule alipatikana na hatia ya kutumia silaha kinyume na sheria akajikuta akienda jela kwa miaka miwili na kutoka mwezi wa tano mwaka huu.

Katika interview alioifanya na mtandao wa TMZ Ja Rule ukiacha vitu vyote alivyopitia jela sawa la chakula halikuwa tatizo ..

 "It's not too good," said Ja, before adding, "You get packages and stuff like that. You can eat decent enough. I ate everything. In jail we was pretty crafty. We made lasagna, we made cheesecakes."

Amesema chakula hakikuwa kizuri sana hivyo walikuwa wakijipikia aina tofauti za vyakula ..


0 comments: