Monday, October 28, 2013

CHRIS BROWN AKAMATWA !


20131027-132758.jpg


Habari zilizo enea kwanye mitandao hivi sasa, chris brown na bodyguard wake wanashikiliwa na police baada ya ugomvi ulio tokea nje ya hotel W mwishoni mwa wiki pande za Washington, DC .
Vyonzo vya habari vinasema ugomvi huo ulitokea wakati chris brown akipiga picha na wasichana wawili nje ya hotel ndipo jamaa mmoja akiwa na washikaji zake walipo jisogeza ili watokelezee kwenye picha ,kitendo ambacho inaonekana hakikumfurahisha C breaze na kuamua  kumpiga jamaa ngumi ya uso na kumpasua pua.

Lakini vyanzo vingine vinasema chris brown alifanya tukio hilo baada ya jamaa hao kutaka kupanda ndani ya bus lake.
Mtandao wa Tmz umezungumza na jamaa aliepigwa ngumi amesema anatarajia kufanyiwa upasuaji ,endapo chris Brown atapatikana  na hatia huenda akaa enda jela miaka minne ukizingatia yupo kwenye probation kufuatia tukio la kumpiga rihana 2009

0 comments: