Wednesday, October 02, 2013

Young Buck atoka jela..Hatimaye Rapper wa zamani wa G-Unity Young Buck  ametoka jela baada ya kuwa kifungoni kwa jumla miezi 18 kwa  kosa la kutumia silaha kinyme na sheria
Young Buck ametumia akaunti yake ya twetter kuweka wazi kuwa yupo huru hivi sasa '' The Real Young Buck ''I'm officially a free man!!!''

0 comments: