Monday, October 28, 2013

Lady Gaga abaki uchi wa mnyama jukwaani..

gaga-6
Msanii ambaye haishi vituko mara kwa mara Lady Gaga ameingia kwenye headlines za vyombo vya habari kwa mara nyingine tena baada ya kuvua nguo jukwaani na kubaki uchi wa mnyama katika show aliofanya Londan uingereza ijumaa iliopita.

gaga-1

Lady Gaga mwenye miaka 27 alipanda on stage akiwa na vazi refu lililo funika mpaka miguni lakini wakati akiendelea kuimba akawa analivua taratibu mpaka akabakia uchi wa mnyama.
 gaga-4gaga-3gaga-5

0 comments: