Tuesday, October 15, 2013

VIDEO:Tyga amkaribisha Game YMCMB..


Tyga amemkaribisha Game ndani ya Cash Money Records kama member mpya wa group hiyo katika concert aliofanya pande za  California .
Game amechukua headlines  za kutosha last week baada ya kutangazwa ku sign Cash Money Records na kujiunga na wakali kama Drake na Lil Wyne.
Tyga akiwa on stage pande za California alimpongeza game kujiunga na YMCMB na kisha kumvisha chein ambayo ina lebo ya Cash money.

"I drove two hours to let everybody know that Game is signed to Cash Money Records," amesikika Tyga akisema katika video clip ambayo imewekwa youtube huku ikimuonesha  akimvisha chain game..

0 comments: