Tuesday, October 22, 2013

kanye amvisha pete ya uchumba KIM KARDASHIAN ..

Hatimaye Kanye West amvisha pete ya uchumba mpenzi wake  Kim Kardashian jana (jumatatu) tarehe 21 wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa..


Usiku wa kuamkia jumanne kim alikuwa na private party kusherehekea kutimiza miaka 33 ndipo Kanye west alipo muuliza Kim kama  anaweza kumuoa.

Lakini kabla hajafanya hivyo kwa Kim ,Kanye alionesha ni mtu makini kwani alianza kumulize mamake na Kim ,Kris Jenner kama anatoa Baraka amuowe mwanae ,
Kanye na Kim wamekuwa pamoja kwa miaka kadhaa hivi sasa na wamefanikiwa kupata mototo pamoja North.
Congratulations to Kanye and Kim!

0 comments: